Mtanzania agongwa na gari na kufariki papo hapo mjini Antalya nchini Uturuki

Ni Dhambi kumhukumu mtu pasipo na kuwa na ushahidi wowote ule unapata dhambi lete toba kwa Mungu wako kwa kusema maneno huna uhakika nayo. Unasema maneno ya uongo kwanini Mkuu?
Ni hujanielewa sijamhukumu mkuu hapo isipokuwa siku km hizo za sikukuu vyombo vya moto ni kuacha tu home uwape ajira wengine au la tuliza tu home.
 
Duuuu
 
Shukrani kwa kufariki
 
Asante kwa taarifa.
Poleni wafiwa wote.
Rest Easy son though going too soon.
 
Katika lugha ngumu kuandika na kujifunza ni kituruki na kijerumani
Hakuna lugha ngumu duniani ukisema kichina watu wana andika kichina ukisema kifaransa watu wanaandika kifaransa. Lugha ya kituruki imechanganyika na lugha nyingi tu ndani ya lugha ya kituruki kuna lugha ya kiarabu,kiingereza,kifaransa na kilatini ndio hiyo lugha ya kituruki sio ngumu kuisoma na kuiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…