Mtanzania Omari Hussein amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuacha Rais Samia Suluhu aongoze nchi kwa hekima zake hasa kushughulikia kashfa kubwa inayolikabili taifa kwa sasa ya mkataba wa Bandari na DP World.
"Halafu Mstaafu angetulia hayupo kwenye kiti kabisa au anataka Tena ?? hatutaki Escraw ijirudie hapa
Wampe Nafasi Mkuu wetu wa Nchi atatumia Hekima na Busara zake na mwisho atatoa uamuzi wa Serikali baada ya kukaa kimya na kutafakari Sana lkn akiruhusu Hawa watamharibia Mnadhani angekuwepo Mzee Baba angejitokeza kujibu wakati yeye hayupo kwenye kiti?? kila wakati wanawaza siasa tu" amesema Omari.