Mtanzania ahukumiwa kifungo cha miaka 110 Kenya kwa tuhuma za kigaidi

Mbona miaka michache nyie wakenya.. Nilitarajia mumfunge si chini ya miaka 80 au anyongwe.
 
kwa kuwa wewe utaishi milele duniani

Mawazo ya kinyonge hayo.
Wewe unafikiri uue wenzako, halafu wewe uangaliwe tu, eti kisa sitaishi milele duniani.
Hata hivyo, imeandikwa... ukihukumu kwa upanga utakufa kwa upanga... Yule dogo amepata fungu alilolichagua.
 
Uzi wa kinazi huu.atuletee evidence za kuwa uyu m tz mana ata Mombasa wapo ayo majina.
 
Mkuu ni dini gani inaruhusu kuuwa watu ? Hata kama huna dini kabisa huwezi kuuwa watu kabisa ,hata Ule ubinadamu huwezi ,roho itakuuma tuu ,sijui huo ujasiri wanapata wapi ?
 
Wakenya sio wa kuwaamini kwa kesi inayomuhusu mtanzania Ni wabambikizaji wazuri sana, watanzania wengi wakikamatwa huwa hawapewi nafasi ya kujieleza, wanaimani kuwa mtanzania ukimpa nafasi ya kuongea humshindi
 
Bora mwenzako anaenda kuoa mabikra wewe ukienda unakwenda kuchomwa moto
Mawazo ya kinyonge hayo.
Wewe unafikiri uue wenzako, halafu wewe uangaliwe tu, eti kisa sitaishi milele duniani.
Hata hivyo, imeandikwa... ukihukumu kwa upanga utakufa kwa upanga... Yule dogo amepata fungu alilolichagua.
 
Eish ,hawa Tzed na WaSomali wanafanana sana kuanzia omba omba na ugaidi pia. Mahali tu wanatofautiana ni waSomali hawana uchawi.
We mbulula kweli! Kuna wachawi kama Kenya? Sema nyie wote mnaita waganga hamuezi tofautisha mchawi na mganga
 
METHALI inasema "Mjibu mjinga sawa sawa na ujinga wake ili asionekane ana hekima machoni pako"
Hapa siyo uislam wala nini, tunataka haki itendeke kwa yeyote anayedhurumiwa uhai. Tusipoteze muelekeo wa kulinda haki kwa kisingizio cha dini. Muuaji hakubaliki kwa vyovyote.
 

Yaani sikujua kabisa utaratibu huo.. Nilimshukuru Mungu kwa kuwa sijabambikizwa mzigo basi nikaenda zangu.
 


Hio yake ilikua si ushukiwa wa ugaidi .... Hio yake ni ushukiwa wa kua mule, kuna jamaa wengi Sana wanashikwa pale JKIA wakiwa wame meza dawa za kulevya zikiwa ndani ya mfuko.... Au maranyengine badala ya kumeza huchukua huo mfuko na kuufilinyilia Kwa shimo la nyuma!!!!! Kwahivyo walipomwambia aende haja kubwa mbele Yao si eti walikua wanataka kum humiliate, walikua wanataka kuona sample ya kinyesi kama kutaanguka vifuko vilivyo jaa madawa, tumeshika wakenya, wakongo,wanaigeria,Burundi, Mozambique na mtindo huu, hata kuna video flani ya kamiti women max prison ilikua inaonyesha wa south Africa watatu wanaomba serekali Yao iwahamishe hadi jela ya south Africa ili wawe karibu na familia zao, pia hao walishikwa na mtindo huo huo wa kuketishwa mahali Hadi waende haja kubwa baada ya kushukiwa kua wanatumia miili Yao kusafirisha tembe za dawa za kulevya.......sikuhizi wameweka zile High resolution full body scan hapo JKIA kwahivyo si lazima uende haja kubwa tena, wanaweza Ku scan x-ray mwili nzima waangalie tumbo au collon kama kuna kitu umeficha ndani ya mwili.





Kila baada ya miezi miwili mitatu hua kunatokea story kama hizi....



Nigerian National was cabbed at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) on Sunday on suspicion of trafficking in narcotics.

Princess Okoye, 25, was intercepted as she prepared to board a flight destined for Italy.

According to Police, the woman had concealed the drugs in plastic bottles containing milk.

The woman was carrying 77 Pellets of suspected narcotics and later emitted an additional 15 pellets which she had swallowed.


511 people are talking about this


She remains under observation as investigations continue.

Her arrest comes just months after three foreigners on transit to China and India were arrested at JKIA in November on suspicion of trafficking in narcotics.

The police said one of the foreigners, a Tanzanian national, identified as Msafiri Musa, had concealed pellets of an undisclosed type of drug in his rectum to avoid detection.

Police added that the Tanzanian drug trafficker also emitted 69 Pellets which he had swallowed
.
 
Watanzania wamenaswa wengi sana pale JKIA mwaka huu wakisafirisha madawa ya kulevya. Pasipoti yake ndio ilifanya awe suspect. Ila ana bahati sana, wenzake huwa wananyweshwa uji wa unga wa ngano. Kisha wanavuliwa nguo na wanatupwa kwenye selo ya tiles full suit, kote kote kutoka kwa paa hadi kwenye sakafu. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…