MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Hivi Kenya mpaka leo bado wanahangaikaga na magaidi?
Ndio na mimi pia nashangaa maana kule Tanzania kuna waislamu watatu wa kutokea sayari ya Jupiter ambao wamehukumiwa kifo jana baada ya kupatikana na hatia ya kuwachinja Wakristo wa kutokea sayari ya Mars...
Soma taarifa zaidi hapa kama unajua kusoma na kuelewa Kingereza https://www.theeastafrican.co.ke/ne...-3-to-death/4552908-5164936-6bvjbt/index.html
