Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
MTANZANIA AIBUKA KWENYE VIDEO INAYOTREND DUNIANI
Kuna Video inayotrend kwa sasa Duniani
Inayowaonyesha Vijana watatu waliovalia Taulo nyeupe Wakivuka barabara huku walicheza huko Washington DC, Marekani.
Moja ya Vijana hao imeripotiwa kuwa ni MTANZANIA, ambaye ni wamwisho kwa Vijana waliovalia taulo, kichwani akiwa amesuka mtindo wa Rasta.
Vijana wengine wawili; mmoja anatoka Nigeria na mwingine anatoka Afrika ya Kusini
Walikuwa wakicheza Muziki wa Dance aina ya AMAPIANO kutoka Afrika Kusini.
Jina la wimbo; WOZA By Mr Jazziq
Nashindwa kupandisha Video
Nikifanikiwa naipandisha hum
Video hiyo imevutia wengi Duniani na wengi wamejikuta wakiifurahia
Taikon wa fasihi
Kwa kweli mimi mwenyewe nimeifurahi lakini pia nawapongeza sana Vijana hao