MTANZANIA aibuka kwenye Video ya Ampiano inayotrend Dunia kwa sasa

Hopless kabisa, Hayo ndio mambo yetu tukishafika huko ughaibuni.

Hio ni aibu ndugu sio sifa.
 
Hao wapo kwenye Tasnia ya muziki Na Dance Ulitaka wabebe Prospects

Hawa wao ndio walioimba huo wimbo? Hawa wameshashiba wanapumbazika tu. Yani Dume zima kuranda njiani na Taula kiunoni huku linakata mauno nao ni ujanja?
 
Hawa wao ndio walioimba huo wimbo? Hawa wameshashiba wanapumbazika tu. Yani Dume zima kuranda njiani na Taula kiunoni huku linakata mauno nao ni ujanja?

Acha Stress Boss, nani alisema ni ujanja au unajitungia mambo yako kichwani?

Sasa mtu akishiba na akapumzika ni kosa.

Unaonekana huna exposure na upo so limited, yaani too conservative.

Dunia haipo vile utakavyo, wewe ndio utaishi utakavyo, sio wengine.

wenzako wanafanya watakavyo pasipo kuvunja sheria, wewe unaleta athari ulizopewa na jamii yako na athari zako za kisaikolojia
 

 

wanafurahia maisha na hakuna ubaya kabisa

Dunia inatakiwa kuwa ya raha kama hivi

hiyo robert heriel ana strees nyingi sana
 
Kijana wenyewe utakuwa ni wewe na ushukuru ulaya wastaraabu ila ingekuwa bongo ukicheza hivyo wangeshakuwa wame kubutua na gari.
 
Sijaelewa kabisa ina maana tumsifia MTANZANIA anavuka Barbara huku amevaa taulo au?

Sijaelewa, mwenye kuelewa nahitaji ufafanuzi tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…