Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zambia (DEC) imemkamata Ahmed Muharram (40), raia wa Tanzania anayetajwa kuwa mlanguzi mkubwa wa dawa za kulevya, katika oparesheni maalum jijini Lusaka.
Katika msako huo, DEC ilikamata jumla ya kilo 1,380.8 za bangi, zikiwemo kilo 221.2 zilizofichwa kwenye lori na kilo 1,159.6 zilizopatikana nyumbani kwa mtuhumiwa eneo la Lilayi. Dawa ya kikohozi yenye codeine pia ilikamatwa.
Mtu mmoja raia wa Zambia alikamatwa kama mshirika. DEC imesema Muharram ni mlanguzi wa kimataifa aliyekuwa akifuatiliwa kwa muda mrefu. Uchunguzi unaendelea...
NAOMBA WOTE TUMUWISH SAFARI NJEMA KTK MAISHA YAKE MAPYA ALIYOYACHAGUA USIACHE KUMTAKIA LA KHERI