mbeleni tz unaweza shangaa sheria zikabadilshwa ikaruhusiwaBangi nayo ni dawa za kulevya?
Sema najiulizaga sana kwanini kobazi wanapenda sana kufanya biashara Haram kama hizi?mbeleni tz unaweza shangaa sheria zikabadilshwa ikaruhusiwa
hawajui wachina wanapiga kila kitu ,wanakosa protein kizembeSema najiulizaga sana kwanini kobazi wanapenda sana kufanya biashara Haram kama hizi?
Afu huyu jamaa unaweza Kuta hari kitimoto kwa sababu ni haram
China hawana huruma na mtu anayehatarisha kizazi chao.Angekanyaga China huuyu kha
Tanzania Tanzania nakupenda sanaMy dear friend jeiefu memba... Kaa mbali na vitu viwili kama wewe hauna connection "Nzito" na inner circle ya High establishment (Msoga,kiz Daniel et al)
- DEALS ZA UNGA.
- SILAHA ISIYO HALALI.
Nchi nyingi duniani inaruhusiwa.mbeleni tz unaweza shangaa sheria zikabadilshwa ikaruhusiwa