Ila TZA Kuna namna kuwepo kwa loopholes nyingi za transit ya deals Haram.. mara madawa ya kulevya, mara wa Ethiopia mara magari kuibiwa π€π€.. kinachonisikitisha ni pale unakuta humo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama Kuna ma "Kingpin" wa hizi deal chafu