Tanzania mbona hatuwanyongi au ni kwa vile ni biashara za wakubwa? Watoto wetu wameharibika mno. Imagine boarding schools mnapeleka watoto kuanzia primary ni balaa kule, madawa, kulawitiana ni order of the day. Lakini pia huwa najiuliza ni kwa nini mzazi umpelekee mwanao shule tangu chkechea boarding? Wanangu wote walisoma day school hadi primary na secondary ndiyo boarding at ther 13th. Sasa wewe mwanao 3 yrs unamtoa nyumbani hajui hata pendo la mama. Ukiwatelekeza watoto bila sababu ya msingi jua wanakosa malezi na upendo (parental care and love) mwishowe watatafuta upendo na care nyingine toka kwa makundi na mwishowe wataishia kuwa mabahasha na containers wa dawa za kulenvya.