Mtanzania akamwatwa na madawa India

Mtanzania akamwatwa na madawa India

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Askari wa mji wa Bengaluru, India wamemkamata mtanzania Ejike Celestine akiwa na vidonge 600 vya madawa, yenye uzito wa gm 250

Madawa yaliyokamatwa yana thamani ya zaidi ya milioni 64.3 na aliyapata kutoka kwa mtu asiyefahamika katika mji wa Goa

Nchini India kidonge kimoja ni sawa na tsh 97,000.

Mbali na kushikwa na madawa, pia ana makosa ya kuwa na VISA bandia. Polisi wa india wanamchunguza Mtanzania huyo kujua kama ana fanay biashara mweneyewe au ana kundi analofanya nalo kazi.

======
Tanzanian drug peddler held in Bengaluru with ecstasy

The Central Crime Branch (CCB) of the city police on Thursday arrested a Tanzanian national with more than 600 ecstasy tablets, an official said.

"We have arrested a Tanzanian with ecstasy tablets worth Rs 20 lakh at street value. He received the drugs in Goa from an unidentified foreigner," CCB Deputy Commissioner of Police Kuldeep Jain told IANS.

The unidentified foreigner who handed over the drugs, weighing about 250 gm to Ejike Celestine, 39, had already departed India.

According to Jain, the street value of a single ecstasy tablet would be Rs 3,000.

Hailing from Dar-E-Salaam, Tanzania, Celestine was arrested under the Narcotics, Drugs and Psychotropic Substances Act, 1985 (NDPS) and also for possessing a fake visa, within the Hennur police station limits, Jain said.

The police are checking if Celestine was operating alone or was part of an organized gang.
 
NA shaka na hilo jina,huyo si mtanzania, atakuwa ametumia hati ya kusafiria ya Tanzania.Uchunguzi wa kina ufanyike
 
NA shaka na hilo jina,huyo si mtanzania, atakuwa ametumia hati ya kusafiria ya Tanzania.Uchunguzi wa kina ufanyike
Ubalozi wa India ufuatilie upesi na utoe tamko kwa serikali ya India huyo sio mtanzania
 
Back
Top Bottom