Mfilisiti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 396
- 1,958
Tafakuri ya leo.
Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa??
Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki zetu??
Jibu ni hili, Mtanzania anaogopa sana neno "bunduki", Mtanzania akishaona bunduki basi hajiwezi kabisa kwa chochote na atakimbia mithiri ya mwendo wa ngiri, na jumapili anaweza kutoa ushuhuda ni jinsi gani alivyoona bunduki ikitolewa na Mungu kumuepusha.
Police+TISS wanajua udhaifu wa watanzania ni kushikilia bunduki tu hata kama haina magazine basi kazi ishaisha.
Rejea maandamano ya Chadema, hao baka baka wanamwagwa mtaani na Bunduki, basi mtanzania akishaona hivyo tu utasikia "bado napenda kula ugali wangu"😂
Niwakumbushe issue ya Nape, bastola ilivyotolewa nadhani kila mmoja nishahidi Hamorapa alivyochomoka.
Hizi bunduki ndio tatizo na chanzo cha uwoga wa mtanzania.
Ukienda Bukavu Congo, huwezi mtishia mtu bastola maana wamezoea kuisikia, kiufupi hawaogopi, Mirindimo ya risasi inasikika huku kila mtu anaendelea na shughuli zake.
Kuna badhi ya nchi hizo mirindimo ya risasi wameizoea kabisa, nchi kama Somalia, Mali, Sudani Mambo ya kuogopa bunduki sio shida zao. Enyi watawala mnataka tanzania nayo ifikie huku??
Mwisho: Mtanzania usiogope kufa,kifo ni kifo tu.
Tuanzishe campaign ya kuwazingira na kuwachoma moto watekaji.
Wassalam