Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

Mkuu hizo pasi ziliacha kutumika toka mwaka jana nadhani,tuna pasipoti mpya,halafu air Tanzania uwa haina kituo ikiruka dar ni mumbai moja kwa moja,sasa dubai ilienda kufanya nini na ikiwa hata dubai airport kesho 21 may ndio inafunguliwa tena kwa baadhi ya route tu
Sawa mkuu, tunabishana kama vile maiti inaliwa! Nenda kaulizie habari zake kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Dubai utapewa ukweli. Jinga wewe!
 
RIP mtanzania mwenzetu. Ina maana ile kauli ya Mh. Rais ya kuwasitiri wenzetu katika makao ya milele sehemu za asili au makaazi yao Tanzania bado haitekelezeki.

Maana ingewezekana kabisa maiti iletwe Tanzania kufuatana na taratibu za IATA na kama kweli alifia akiwa angani ndani ya ATCL..
Tueleze utaratibu upoje? Maana huyo alikua ni passenger na baada ya kufariki mwili wa binadamu husafirishwa kama cargo ingewezekana vipi? Embalming certificate? Kupata jeneza, kulifanyia wrapping hizo gharama zote anabeba nani?
 
Fake news! ! Ndege inaruka moja kwa moja mpaka dar. Au unasema ilifanya emergency landing Dubai. And show us the proof! ! Kwamba ilifanya hiyo emergency landing.
Uliposema ni 'fake news', nilidhani unafahamu ukweli, kumbe ukaendelea kuuliza
 
Back
Top Bottom