nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
sawa kabisa na kama ni covid haina shida sana sababu huku kuna maombi kwa hiyo kama aliambukiza watu hawataingia nayo huku maan tulishaishindaMkuu hizo pasi ziliacha kutumika toka mwaka jana nadhani,tuna pasipoti mpya,halafu air Tanzania uwa haina kituo ikiruka dar ni mumbai moja kwa moja,sasa dubai ilienda kufanya nini na ikiwa hata dubai airport kesho 21 may ndio inafunguliwa tena kwa baadhi ya route tu
wewe boya hizo buku 7 ndo upandie ndege au mmehaidiwa kwenda kusafisha macho baada ya kupost makorokocho humu ndani,ma inzi ya chooni ya lumumba, hopeless foolsAcha upumbavu hakuna aliye kufa me mwenyewe nilikuwa kwenye hiyo ndege
Hatar
Dah waTZ wajuaji bwanaRIP mtanzania mwenzetu. Ina maana ile kauli ya Mh. Rais ya kuwasitiri wenzetu katika makao ya milele sehemu za asili au makaazi yao Tanzania bado haitekelezeki.
Maana ingewezekana kabisa maiti iletwe Tanzania kufuatana na taratibu za IATA na kama kweli alifia akiwa angani ndani ya ATCL..
Mkuu tuliza akili na usome tena hiyo habari.wewe boya hizo buku 7 ndo upandie ndege au mmehaidiwa kwenda kusafisha macho baada ya kupost makorokocho humu ndani,ma inzi ya chooni ya lumumba, hopeless fools
View attachment 1455373
Duuuu aliokuwa nao kwenye ndege si wameenda kuwaambukiza ndugu zao kitaani?Kazikwa Dubai ndiyo kutokana na sheria za kukabiliana na Corona za kule!
Matumizi ya hiyo passport ya zamani ilikuwa mwisho January 2020... asingeweza kusafiri na passport hiyo baada ya January 2020...Uliposema ni 'fake news', nilidhani unafahamu ukweli, kumbe ukaendelea kuuliza
Kwanini aongope? Ukifia angani, ndege inaangalia uwanja jirani, maiti inashushwa, Safari inaendelea
... most likely, I guess, alikuwa huko may be kimasomo kabla passport mpya hazijaanza kutumika. May be ndio alikuwa amemaliza chuo anarudi nyumbani, may be!Mbona Pass ya zamani hii amabyo sasa haitumiki au nieona vibaya
... inawezekana alishakuwa India long before kabla ya passport mpya kuanza kutumika. Suppose, alikuwa huko kimasomo 3 yrs degree? May be lakini, not sure!Ebwana mimi naweza amini maana hiyo Passport haitumiki tena yeye kawezaje kutumia kwenda mpaka India huu ni uongo
Hiyo ndio sehemu mbaya zaidi ya habari hii..daahh kako very cute aise
mmeishi nae?Namjua uyo