Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

Ni fake kweli kweli ndege ya Air Tanzania iliyotoka Mumbai kwenda Dar haijapita Dubai na abiria wote walifika salama. Fact check.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mzuri hakika angetua bongo ningemuoa
 
Mbona hizo passport za zamani zimeisha muda wake, alitumiaje kwenda India?
 
alizidiwa kwenye ndege, akashushwa dubai kupelekwa hospitali, ndio amekufa juzi
 
Wengi humu taratibu za ndege hawazijui mtu wa kwanza kusema hizo passport hazitumiki kwasasa alikuwa mkweli pengine hata wapili anajua Mambo haya ila waliofwata wengi inaonyesha ni wadesaji hawajui lolote kuhusu Mambo ya visa na passport wanajisemea tu ili waonekane jamiiforums kwamba wanajua haya Mambo infact jf kila mtu Ana gari kila mtu Ana degree na kila mtu anaijua ulaya !!

Wabongo acheni ujuaji Kama sio viwango vyako piga kimya.
 
Mbona hizo passport za zamani zimeisha muda wake, alitumiaje kwenda India?
Hawa ndio waking Parabora ufafanuzi ushatolewa zaidi ya post kumi huko nyuma nawewe unajidai unamkosoa mleta Mada ili ujulikane unamiliki Pspt .
 

BIG UP VERY GREAT THINKING: Watu wamekua wajinga kuacha issue na kudeal na mleta mada. Poor brains developing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…