TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

USA hata leseni zake zinachanganya sana kwa wabongo kwasababu automaticaly ni international dah na zile highways ukiingingia wrong way ni deadly .
Leseni sio shida. Pia kuingia highway sio shida kwa kuwa mtu ameishi huku hata kuwa na makosa ya kutumia kushoto kama Tz yanakuwa yanapungua kwa kuwa unakuwa ushazoea kulia. Kifupi imefika muda amepumzika.

Mtz mwingine yuko majeruhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…