TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

Wachaga hawazikwi ugenini...hope atasafirishwa
Nimrodi Mkono alikuwa Billionare, maiti yake kuchelewa kurudishwa Tanzania tatizo lilikuwa ni pesa?

Jipeni muda japo kidogo kujuwa procces ya kusafirisha maiti kutoka Marekani mpaka Tanzania, its all about money? Muelewe maiti ni cargo siyo binadamu tena.
 
Nahc kwa Nimrod kulikuwa na mgogoro wa familia wakautatua kwanza ndo wakafanya kumsafirisha
 
Dah [emoji23]
 
Maiti zikifa zinazikwa ardhini na hilo linaonekana.

Sasa wewe unathibitishaje mtu akifa huenda mbinguni?

Ulishawahi kuishi huko mbinguni au kuona mtu akienda huko mbinguni?

Kwanza unathibitishaje Mbinguni kupo?
Kwenye swali langu,hakuna mahali nimetaja mbinguni,

Pia sio maiti zote huzikwa udongoni wengine huchomwa moto.

Sasa kinachokufanya wewe useme huko udongoni ni kuzuri je wewe ulishawahi kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…