Mtanzania aliyemshinda Dr. Remmy Ongala

Mtanzania aliyemshinda Dr. Remmy Ongala

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
[h=5]Masoud Sura mbaya, mkazi wa Ilala Sharif shamba[/h]

12684_477196852325353_1665884075_n.jpg
 
marehemu Dakta aliwahi kukata rufaa mahakama ya kimataifa kupinga ushindi wa huyu bwana na moja kati ya sababu zilizopelekea Dakta kufika huko ni kuwa alidai jamaa ana ukoma...
 
Hiyo issue ya ku-apeal, iliniacha hoiiiiii! Naipenda tanzania yangu! Haiishi vituko! 'tuwachwe tupumuwe'!
 
Hivi PINDA na WASSIRA walishiriki au walikuwa bado wasanii CHIPUKIZI.
 
Of coz hawakushirik bt km wangeshirik masoud asingeshinda kiwepes vile!Naamin angepata upinzan mkal sn kutoka kwa w'huyu p angekua wa 3 hiv!Kushndwa kuibua vpaj co kwenye soccer pekee hata huko tunashndwa
 
Masoud Sura Mbaya a.k.a Bayabo
Mkali wa Sharif Shamba - DSJ

Kweli huyu jamaa mkali, maana nakumbuka aliulizwa swali kama ameoa, ye alijibu hajaoa bali ana ****** (bwabwa) wake anayemkidhi haja zake za kingono!
 
Hivi PINDA na WASSIRA walishiriki au walikuwa bado wasanii CHIPUKIZI.



Hata wangeshiriki wasingeona ndani,maana Masoud aliahidi kabisa mashindano yanayofuata angemleta mjomba wake, bahati mbaya mashindano yale hayakufanyika tena..
 
Back
Top Bottom