Mtanzania aliyeshiriki kuunda Dreamliner kutunukiwa tuzo Marekani

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Source: Mtanzania aliyeshiriki kuunda Dreamliner kutunukiwa tuzo

By Elias Msuya, Mwananchi emsuya@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Mtanzania aliyeshiriki katika uundwaji wa ndege Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania Julai 2018, George Jonas ni miongoni mwa wanasayansi waliofuzu kupewa tuzo za mwaka huu katika mkutano wa Beya Stem unaohusisha wataalamu wa sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati.

Utoaji wa tuzo hizo unatarajiwa kufanyika Washington, Marekani Februari 7, 2019 ukiwa ni mwendelezo wa mikutano inayofanywa na Beya Stem kila mwaka.

Jonas amechaguliwa kuchukua tuzo katika kundi la Walt W. Braithwaite Legacy Award akiwa ni mhandisi wa usalama katika ndege za aina ya 777X kutoka kampuni ya Boeing.

Jina la Jonas ambaye ni mwenyeji wa mkoani Mbeya lilianza kuvuma mara baada ya ndege ya Boeing 787-8 ilipotua nchini Julai 8, 2018 akiwa ni miongoni mwa wataalamu waliohusika katika utengenezaji wa ndege hiyo yenye viti 262.
 
Hizo link mnatuchosha. Kama huna habari kwa kina bora ukaushe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana, ila the fact is: Gazeti la Mwananchi ambalo huwa liko online, content yake iko protected na hivyo huwezi kui-copy na kui-paste. A similar case applies to Gazeti la Nipashe la IPP Media. Sijajua labda ili uweze ku-bypass hiyo protection, pengine unatakiwa labda ui-print page nzima ya gazeti kama pdf, halafu ndiyo u-copy kutoka kwenye hiyo prointed out page, sijawahi kujaribu kwa sababu ya muda. Hii ndiyo sababu huwa inanifanya mara zote kuweka link, badala ya kuacha kabisa ku-post kisa content iko protected!
 
screenshot

Muda ulioutumia kuyaandika haya yote ungeshatusaidia ku paste hiyo taarifa hapa mkuu, Anyway

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Utaalamu gani specific unaoongelewa!?
 
Safi

Mkuu kama huwezii kuweka uzi huku wenye maelezo yanayoeleweka, utilize upupu watu wenye akili wataweka
Na log off

I'm sorry! Mwananchi Online ni content protected, huwezi ku-copy na ku-paste contents zao. Sorry kwa wamnaotumia MB za kwenye simu! Hata hivyo bora nimepost kuliko kuacha kabisa
 
By Elias Msuya, Mwananchi emsuya@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Mtanzania aliyeshiriki katika uundwaji wa ndege Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania Julai 2018, George Jonas ni miongoni mwa wanasayansi waliofuzu kupewa tuzo za mwaka huu katika mkutano wa Beya Stem unaohusisha wataalamu wa sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati.

Utoaji wa tuzo hizo unatarajiwa kufanyika Washington, Marekani Februari 7, 2019 ukiwa ni mwendelezo wa mikutano inayofanywa na Beya Stem kila mwaka.

Jonas amechaguliwa kuchukua tuzo katika kundi la Walt W. Braithwaite Legacy Award akiwa ni mhandisi wa usalama katika ndege za aina ya 777X kutoka kampuni ya Boeing.

Jina la Jonas ambaye ni mwenyeji wa mkoani Mbeya lilianza kuvuma mara baada ya ndege ya Boeing 787-8 ilipotua nchini Julai 8, 2018 akiwa ni miongoni mwa wataalamu waliohusika katika utengenezaji wa ndege hiyo yenye viti 262.

Lazima utakuwa na ki-knowlegde cha IT. Umekopi na kupest ila hujakanusha kuwa content iko protected
 
Hakuna knowledge yeyote nipo hapa na kitecno changu, na browser nayutumia nibucbrowser
 
Muda ulioutumia kuyaandika haya yote ungeshatusaidia ku paste hiyo taarifa hapa mkuu, Anyway

Sent from my Iphone using Tapatalk

Haiwezekani ku-copy na ku-pate, ndiyo nilichoandika hapo. Hata hivyo kuna baadhi wanaweza, sijui namna walivyofanya. Mimi bado sijaweza kujua wanafanya fanyaje, pengine labda wamekopi kutoka kwenye similar content, ila hawajacopy kutoka Mwananchi yenyewe! Au pengine ni staff wa Mwananchi na hivyo wao wana permission za kufanya hivyo
 
Hakuna knowledge yeyote nipo hapa na kitecno changu, na browser nayutumia nibucbrowser

Kwenye windows OS haiwezekani, possibly techno wao wako safi zaidi. Basi nakutakia kila kheri, endelea kula maisha na techno
 
Back
Top Bottom