The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT.
Katika Bunge lililovutia kuliko wakati wowote ule ni hilo la 2010/2015 Bunge lilikuwa la moto hatari hoja nzito znito zilikuwa zinatolewa.
CCM wakaona hayo yalikuwa ni makosa kuweka Wapinzani wengi bungeni Lakini kiukweli ndio bunge liliokonga nyoyo za watz wote na kuwaamusha hadi leo.
Angalia Bunge la Kenya limejaa Wabunge wa vyama tofauti tofauti kabisa siyo kama Bongo yetu.
Wapinzani wanahitajika kuongeza chachu ya maendeleo ya nchi tukiendlee na hawa wa CCM pekee Tutaibiwa sana.