frank lion
Member
- Sep 22, 2016
- 98
- 120
Aliyeiba ni nani sasa,usi comment kama umekatwa kichwa na ISISUnadhani ni rahisi kama mlivyomuibia Mzee MAMVI 2015?
Kuna Dada aliwapita wenzake kama mita 100 hivi lakini akawa wa mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaitwa Magdalena Shauri, sijui alimaliza wa ngapi, mwanzoni alikuwa kundi moja na wakenya.Tunamshukuru mleta mada kwa taarifa hii.
Pia ninakushukuru wewe kwa updates juu ya kina mama.
Zaidi ninakushukuru kwa updates za huyo dada wa mwisho maana wakati anaanza nilimuona(alivaa kijani chini) ila nilishindwa kufuatilia mpaka mwisho kujua hatima yake.
Huyu sasa hivi ni another level hata serikali isipomsaidia ashasimama.
Nishindwe mm ww vp hujielewi umechanganyikiwa?? kamuulizeni mzee Mwinyi
Kuna siku nilikuwa nafigure out idadi ya waandishi wa habari ambao wamekuwa maarufu sana Tanzania kuanzia miaka ya 90 mwanzoni nikagundua asilimia 80 ni wanatokea Arusha.
Mamiss nao wengi wanatokea Arusha na Kilimanjaro...hata miss Tanzania wa sasa. Walikuwepo Nancy sumari, Hoyce Temu, na hata Miss Tanzania wa kwanza kabisa wa miaka ya 60 pia ni wa kaskazini.
WanaHiphop mashuhuri pia wanatokea Arusha.
Ukija kwa Wanariadha...wengi asili yao ni Manyara (zamani ilikuwa Arusha) lakini bado ipo kaskazini kwa sasa. Mfano mzuri ni: John Yuda, Shahanga, Philbert Bayi na hata huyu wa leo hii.
Mungu aliipendelea kaskazini.
Ni kweli kabisa,..umesahau pia kuwa hata kwa maendeleo ni Arusha Na Moshi ziko juu...Na pia elimu....shule bora ziko Arusha Na Kili....pia watu vichwa Na wenye mafanikio Na wasomi wengi wanatoka Arusha Na Kilimanjaro... Ndio maana hata JPM anaumia....kwa mafanikio ya mikoa hii....wanasahau kuwa watu wa huku ni wenye juhudi sana Na wenye kupenda maendeleo...