Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

89ed9768e8578346d652d8760c89eafc.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Dada aliwapita wenzake kama mita 100 hivi lakini akawa wa mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunamshukuru mleta mada kwa taarifa hii.
Pia ninakushukuru wewe kwa updates juu ya kina mama.
Zaidi ninakushukuru kwa updates za huyo dada wa mwisho maana wakati anaanza nilimuona(alivaa kijani chini) ila nilishindwa kufuatilia mpaka mwisho kujua hatima yake.
 
Anaitwa Magdalena Shauri, sijui alimaliza wa ngapi, mwanzoni alikuwa kundi moja na wakenya.
 
Wawakilishi wetu kwa wanawake walikuwa 3 ,sijajua matokeo yao
 
Huyo mkenya apimwe mkojo kama ametumia dawa za kuongeza nguvu au la.
maana wakenya wamekumbwa na kashfa ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu kwa muda mrefu
 
Hivi huyu jamaa si ni muajiriwa wa Jkt inakuaje mwanajeshi anashiriki mashindano ya kiraia,Nijuavyo wanajeshi wana mashindano yao
 
Watu wa ukanda wa mashariki ya Afrika tumebarikiwa sana stamina katika mbio
 
Duuhhh..., aisee hongera sana, huyu akirudi JPM amnunulie gari nzuri, apewe nyumba nzuri hata mbezi au kimara na aolewe mke mzuri kabisa kama hana, hii itasaidia kutengeneza morale boost kwa upcoming talents, hivi ndivyo Kenya wanavyo wa-motivate athletes wao. DO THIS PLEASE. Hizo pesa zitarudi kupitia utalii maana ameitangaza Tanzania dunia nzima
 
..umesahau pia kuwa hata kwa maendeleo ni Arusha Na Moshi ziko juu...Na pia elimu....shule bora ziko Arusha Na Kili....pia watu vichwa Na wenye mafanikio Na wasomi wengi wanatoka Arusha Na Kilimanjaro... Ndio maana hata JPM anaumia....kwa mafanikio ya mikoa hii....wanasahau kuwa watu wa huku ni wenye juhudi sana Na wenye kupenda maendeleo...

Kuna siku nilikuwa nafigure out idadi ya waandishi wa habari ambao wamekuwa maarufu sana Tanzania kuanzia miaka ya 90 mwanzoni nikagundua asilimia 80 ni wanatokea Arusha.

Mamiss nao wengi wanatokea Arusha na Kilimanjaro...hata miss Tanzania wa sasa. Walikuwepo Nancy sumari, Hoyce Temu, na hata Miss Tanzania wa kwanza kabisa wa miaka ya 60 pia ni wa kaskazini.

WanaHiphop mashuhuri pia wanatokea Arusha.

Ukija kwa Wanariadha...wengi asili yao ni Manyara (zamani ilikuwa Arusha) lakini bado ipo kaskazini kwa sasa. Mfano mzuri ni: John Yuda, Shahanga, Philbert Bayi na hata huyu wa leo hii.

Mungu aliipendelea kaskazini.
 
..umesahau pia kuwa hata kwa maendeleo ni Arusha Na Moshi ziko juu...Na pia elimu....shule bora ziko Arusha Na Kili....pia watu vichwa Na wenye mafanikio Na wasomi wengi wanatoka Arusha Na Kilimanjaro... Ndio maana hata JPM anaumia....kwa mafanikio ya mikoa hii....wanasahau kuwa watu wa huku ni wenye juhudi sana Na wenye kupenda maendeleo...
Ni kweli kabisa,
 
JPM inabidi amuite ikulu, amuite tuu maana hakuna namna, nimefurahi sanaaaaaaaaa, ningeweza nimgemnunulia hata Jet kama ya Gwajima, basi tu..
 
Back
Top Bottom