Magu alivyo na sifa anaweza ambiwa alale pale Ikulu kwa siku mbiliKachukua nafasi ya tatu.... Mwakyembe anza maandalizi mapema ya kumpokea shujaa wetu.
Acha dharau kijana.!Kitu kikishaitwa mashindano namba zetu/nafasi zetu wtz tunazijua.
Upo fasta mzee hata hajafuka mstar ushapost au ulisave?
Hongera simbu ila amefanya uzembe angeweza kuwa wa pili
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
ZBC 2Mnaangalia channel gani??
Nadharau ama naongea hali zetu.Acha dharau kijana.!