Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Breaking news Simbu wa Tanzania ameshinda medali ya Bronze katika mashindano ya dunia huko Uingereza dakika chache zilizopita,wa kwanza ni Mkenya.
Hongera Simbu naona tunaanza kurudi mdogo mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa Bwana Simbu......

Jedwali lake linapanda kila uchao, Iko siku atafanya maajabu......!
 
Back
Top Bottom