cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hongera nyingi kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa kakaZBC 2
Ila yule mkenya hatari....anapumzi za ajabu.....yaani amemaliza kama ndio anaanza....Yule Muethiopia ameponea chupu chupu kupitwa na Simbu....Zingeongezeka Kilomita kadhaa pale alikuwa chali maana alishaanza mawenge.Kukaa jukwaa moja na Kenya,Ethiopia kwenye riadha si jambo rahisi. Hongera zako Alphonce Simbu. World Championship Bronze Medallist!
Hajafanya juhud za kumpita mkenya alishachoka sana waliachana km hatua mbili hiviKafanya uzembe gani tena?
ZBC 2 Kwenye king'amzi cha Azam wapo live mda woteMnaangalia channel gani??
Nilikuwa naangalia hapa ila daah wakenya wanakimbia bwana .Mtanzania Joseph Simbu ashika nafasi ya tatu katika mashindano ya kimataifa ya raidha (IAAF) huko jijini London.
Simbu amepambana sana sana na kukaribia kushika nafasi ya pili
Super sport 8 (208)Mnaangalia channel gani??
Kwanini usiseme huyo mkenya hajafanya uzembe ndiyomaana hajapitwa??Hajafanya juhud za kumpita mkenya alishachoka sana waliachana km hatua mbili hivi
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Mkenya mda wote alikuwa anageuka nyuma alichoka sanaKwanini usiseme huyo mkenya hajafanya uzembe ndiyomaana hajapitwa??
Ila hakuna mashindano ya kutukana mitandaoni na kupiga domo ?Nadharau ama naongea hali zetu.
tusidanganyane bana michuano
Yoyote sisi ni loosers tu.
Huyo Kirui balaa. MuEthiopia alishatepeta, kungekuwa na extra 5M tu angepitwa na Simbu.Ila yule mkenya hata....anapumzi za ajabu.....yaani amemaliza kama ndio anaanza....Yule Muethiopia ameponea chupu chupu kupitwa na Simbu....Zingeongezeka Kilomita kadhaa pale alikuwa chali maana alishaanza mawenge.
Si kweli 2005 Helsinki kwenye mashindano kama haya tulishukua silverNi kweli kama Simbu angekaza angechukua Silver,hata hivyo kajitahidi ,katika mashindano haya hatujawahi kuchukua medal yoyote hata akina Bayi hawakuweza.
Sent using Jamii Forums mobile app