technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Safi sana hongera kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alphonce Felix Simbu kawa mshindi wa kwanza na Magdalena Crispin naye ni Mtanzania kawa mshindi wa nne katika mashindano ya STANDARD CHARTERED MUMBAI MARATHON kapata kitita cha $67 elfu .Ndugu taarifa yako haijakamilika.., ameshinda mashindano gani, yameandaliwa na nan, washiriki walikua wangapi etc.. uje utueleze vzr
$ 67 elfu...Nafikiri Olympic Marathon ya Rio2016 alishika nafasi ya 04..hongera zake.
..ushindi wake unakuja na kitita cha fedha.
.Alphonce Simbu akipewa msaada anaweza kurudisha heshima ya Tz ktk mbio za marathon.
Hata picha za matukio umekosaa
hapo ukute hata wakati anaondoka hawakumuaga wala kukabidhi ibendera....sisi tunakabidhigi ibenderya za kwenda kutumbuiza AFCONHapo sasa wizara na viongozi wa michezo wa bongo ndipo utapowataka. Ataandaliwa kila namna ya tamasha, tulime kisha tuvune, tusisubiri kuvuna bila kupanda
Hivi zawadi nayo inakatwa kodi?$ 67 elfu...Nafikiri Olympic Marathon ya Rio2016 alishika nafasi ya 04
KarataMchezo gani