Mtanzania, Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu Mumbai, India

Ccm watasema alikuwa kwenye ilani yao. So ushindi wake ni kutimiza ilani ya chama
Rais wa Arusha atakuwa anashona suti kumpokea kijana wakati alipokuwa anafanya mazoezi na kuonekana kama amechanganyikiwa hakukuwa na mtu wa kumnunulia hata Kilimanjaro ndogo kama aliyopewa Shigongo pale Lumumba.
 
..Wakenya wameshika nafasi ya 2 na 3.

..Pia mpambano ulikuwa mkali.

..Tofauti ya Alphonce Simbu na mshindi wa pili ni sekunde 18.
Ushindi ni ushindi hata kura moja Rejea uchaguzi wa Ubunge 2010 Jimbo la Shinyanga mjini mshindi aliingia mjengoni kwa tofauti ya kura moja.
 
Mwiraqw wa Arusha huyo jamaa, anakimbia sana sana, nakumbuka Olympic ya Brazil alishika nafasi ya 5 nadhani, na alikuwa aongoze ila sijui kuna nn kilitokea Brazil Olympic marathon akaumia mguu kidogo... Huyu Mwiraqw kwao ni Arusha..
Singida moja hiyo mkuu ila ni Mtanzania tusianze kugombania makabila hatutafika.
 
Ushindi ni ushindi hata kura moja Rejea uchaguzi wa Ubunge 2010 Jimbo la Shinyanga mjini mshindi aliingia mjengoni kwa tofauti ya kura moja.

..nia yangu ilikuwa ni kueleza jinsi Alphonce alivyopambana/alivyo-fight mpaka kuupata USHINDI huu.
 
..nia yangu ilikuwa ni kueleza jinsi Alphonce alivyopambana/alivyo-fight mpaka kuupata USHINDI huu.
Tuko pamoja ni kweli jibu langu halionyeshi picha nzuri. Ni kweli kijana kapambana .
 
Tuko pamoja ni kweli jibu langu halionyeshi picha nzuri. Ni kweli kijana kapambana .

..shukran ndugu yangu.

..tumuombee huyo dogo aitoe nchi kimasomaso.

..nakumbuka hata Juma Ikangaa naye alipopambana kwelikweli new york marathon.

..kama sikosei Ikangaa alishika nafasi ya 2 mara mbili. Alipojaribu mara ya tatu ndiyo akashinda.

..tumuombee Alphonce ashinde mbio kubwa zaidi kama Dubai marathon(biggest prize), boston, london, Rotterdam(easiest track),au new york.

..pia Tz ipate wanariadha wengine chipukizi.
 
Ushauri wangu serikali sasa igeukie michezo na kuwaenzi wanamichezo wanao fanya vizuri kama ilivyokuwa kwa kina Filbert bayi enzi hizo,hii itasaidia vijana wapate hamasa ya kuingia na hatimae tuitangaze nchi yetu.
 
Hongera Simbu. Focus on Olympics sasa na yale ya kulipwa! God bless you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…