Kama wanajua hawawozi wapishe wakae wengine, kuwepo kwenye nafasi hiyo na pamoja na kukubali kukoselewa na kufuata sheriaSerikali sio mawe ni watu.Nani aoneshe ubinadamu kwani wao wanavyotukana na kudhalilisha viongozi Huwa hawajui Kuna ubinadamu?
Mimi siwezi kuwa mnafiki wa hivyo labda ufanye wewe
Nani akuposhe? Kwani kina maria ndio waliwaingiza? Hawatoi na hakuna Cha kuwafanya na hawapishi.Kama wanajua hawawozi wapishe wakae wengine, kuwepo kwenye nafasi hiyo na pamoja na kukubali kukoselewa na kufuata sheria
Weka hapa tusi Moja tu ambalo Maria Sarungi aliwahi kumtukana mtu yeyote yule wa ndani ya Serikali.Serikali sio mawe ni watu.Nani aoneshe ubinadamu kwani wao wanavyotukana na kudhalilisha viongozi Huwa hawajui Kuna ubinadamu?
Mimi siwezi kuwa mnafiki wa hivyo labda ufanye wewe
NImekujibu sehemu ya pili ya swali lako, kuna taratibu za kufuata kama 'wamekashifu', hii ndio inatoa justification ya serikali kitojali watu wake.Alaa wewe ni mgeni na Maria Sarungi au siyo?
Nani asumbuke na hizo taratibu? Unawapuuza Ili siku wakinasa kama hivi ndio wajue hawajui.NImekujibu sehemu ya pili ya swali lako, kuna taratibu za kufuata kama 'wamekashifu', hii ndio inatoa justification ya serikali kitojali watu wake.
Na kiongozi akiwa kwenye nafasi hasimami kama mtu, anasimama kama taasisi, hizi habari za viongozi wana mioyo sijui nyama utupumzishe nazo
Saalaale huyo mhandisi watamsaka kama Salman Rushdie na kile kitabu chake cha satan verse.Kimetoka kitabu kinasema Makamo wa Rais wakati huo alikoswa kubakwa ila serikali ipo kimya.
Kawaulize waliomtekaWeka hapa tusi Moja tu ambalo Maria Sarungi aliwahi kumtukana mtu yeyote yule wa ndani ya Serikali.
Halafu ahdabu ya mtukanaji ni kutekwa? Kama ingekuwa hivyo si watu wengi sana wangetekwa?
Niko na wanja Mkuu sio poda ila ndio hivyo wamepata stahiki yaoπ€£π€£π€£ Mkuu bana utafikiri uko na poda kwa kichwa, kama wako weak hawafai, hicho ndicho taasisi hiyo inachodemand
Wewe inaonekana ni mmoja wao, maana unaonesha kutekwa Kwa Maria ni sawa tuKawaulize waliomteka
Serikali haiwezi kukurupuka tu na tamkoUsihamishe boli Mkuuπ
Huyo ni Chawa wa Kisafwa asikusumbue πWewe inaonekana ni mmoja wao, maana unaonesha kutekwa Kwa Maria ni sawa tu
Kama wewe siyo mtekaji basi unafaidika kwa utekaji aliofanyiwa Maria.
Hizo itifaki ni zipi? Na zinafuatwaje? Na itachukua siku ngapi kukamilika ili Serikali itoe tamko?Serikali haiwezi kukurupuka tu na tamko
Ziko Itifaki za Kimataifa πΌπ
Mume wa Maria alitoa Taarifa Interpol na Chama Cha Wanasheria wa Kenya hao ndio wamefanikisha Maria kupatikanaHizo itifaki ni zipi? Na zinafuatwaje? Na itachukua siku ngapi kukamilika ili Serikali itoe tamko?
Yaani kulaani kutekwa kwa raia wako akiwa nchi jirani Kuna Itifaki?
Ukiona hakuna kilichoongelewa ujue huyo aliyetekwa hakutekwa kama anavyotaka ifahamike bali kacheza igizo la kujiteka.Wakuu,
Toka tukio la utekaji wa Maria limetokea jana Januari 12, 2024, akapatikana, akatoa statement kwa ufupi na kusema ataongea vizuri leo hakuna neno lolote kutoka serikali ya Tanzania kuhusu utekaji huo uliofanyika kwa majirani zetu!
Lakini Rais Samia katoa neno jana Simba ilipofuzu kuingia hatua ya Robo Fainali! Mpira una maana sana na tukio la Maria kutekwa ni upuuzi ambao hauhitaji attention ya Rais na Serikali kwa ujumla?
Hii ina maana gani? Serikali imebariki utekaji huo? Wanajua wahusika hivyo hakuna haja ya kuliongelea? Serikali haijali kabisa wananchi wake? Kuna ushirikiano wa vitendo hivi na serikali ya Kenya? Maana kule nako vitendo hivi vimeshamiri karibuni mpaka wakafanya maandano.
Kwanini serikali haijatoa neno lolote kuhusu hili?
Huyo Maria anakwenda mbali zaidi katika kuifanya roho mbaya serikali. Anafikia hatua ya kujiunga pamoja na maadui wa bandari wakiipinga DPW pale bandarini.Hao wanaokashfu Viongozi & Serikali wakitekwa nani awahurumie au kujishughulisha nao? Utakuwa unafiki