S sangkipsigis Member Joined Dec 24, 2008 Posts 16 Reaction score 2 Oct 27, 2009 #1 Je kuna yeyeote anayefahamu Mbongo anayeishi Guangzhou, China? Nitatembelea huko hivi karibuni. Kama unafahamu nieleze jinsi ya kumpata
Je kuna yeyeote anayefahamu Mbongo anayeishi Guangzhou, China? Nitatembelea huko hivi karibuni. Kama unafahamu nieleze jinsi ya kumpata
Kweli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2007 Posts 1,152 Reaction score 304 Oct 27, 2009 #2 Wewe uko wapi? Kama upo Dar basi ongozana na mfanyabiashara yoyote aendae China(kila siku wanakwenda huko) atakuunganisha na wabongo walio pale, Wabongo hapo Guangzhou wamejaa, na wafanya-biashara wengi wanakwenda kununua biashara zao mji huu.
Wewe uko wapi? Kama upo Dar basi ongozana na mfanyabiashara yoyote aendae China(kila siku wanakwenda huko) atakuunganisha na wabongo walio pale, Wabongo hapo Guangzhou wamejaa, na wafanya-biashara wengi wanakwenda kununua biashara zao mji huu.