Mtanzania anayeishi Guangzhou

Mtanzania anayeishi Guangzhou

sangkipsigis

Member
Joined
Dec 24, 2008
Posts
16
Reaction score
2
Je kuna yeyeote anayefahamu Mbongo anayeishi Guangzhou, China? Nitatembelea huko hivi karibuni. Kama unafahamu nieleze jinsi ya kumpata
 
Wewe uko wapi? Kama upo Dar basi ongozana na mfanyabiashara yoyote aendae China(kila siku wanakwenda huko) atakuunganisha na wabongo walio pale, Wabongo hapo Guangzhou wamejaa, na wafanya-biashara wengi wanakwenda kununua biashara zao mji huu.
 
Back
Top Bottom