Mtanzania anayekipiga Solihull moors.

Mtanzania anayekipiga Solihull moors.

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
679
Reaction score
870
Leo ktk pitapita zangu mitandaoni..nikitafuta facts za teams nilizotaka kubet
Nikakutana na club inayofahamika kwa jina tajwa hapo juu.

Huyu ni striker mtnz ana miaka 25, mwenye asili ya zanzibar anaitwa A.Yussuf.
Anacheza Nchini uingereza ligi daraja la nne.. (wao wanaita national league)

Sasa nashangaa kwanini wachezaji wa aina hii hatuwaiti kuja kuwakilisha Nchi yao kwny michezo ya kimataifa hasa afcon.
Profile yake inaonyesha ana experience ya miaka tisa kwny clubs kadhaa uingereza kama grimsby ,Burton, crawley nk

Pamoja na udogo wa timu anayoitumikia, bado naamini kiufundi atakuwa na cha ziada kuliko hawa tunaowategemea.
Wadau wanaomjua zaidi huyu watujulishe.
 
Sio kila anayecheza Ulaya ni mchezaji bora.
 
apewe nafasi kwanza km ana uwezo awe anaitwa
 
Vipi kama hiyo timu yake ikija kukupiga na Simba au Yanga za TZ ipi itaonekana ni kauzu Fc ya Dunia?
Ile itakayofungwa na kuonyesha soka lisilo na muelekeo "Poor performance" ndio itaonekana kauzu,hatuwezi kusema eti Simba au Yanga ndio zitaonekana kauzu kisa tu zinacheza na team ya Uingereza!!
 
Sikumbuki ni lini nilisikia mchezaji wa daraja la nne Ulaya anachezea timu yoyote ya taifa
 
Vipi kama hiyo timu yake ikija kukipiga na Simba au Yanga za TZ ipi itaonekana ni kauzu Fc ya Dunia?
Hata Simba na Yanga ztakataa kucheza na timu kama hiyo.
Timu gano kwanza inaitwa kisulisuli fc na iko ulaya
 
Hata Simba na Yanga ztakataa kucheza na timu kama hiyo.
Timu gano kwanza inaitwa kisulisuli fc na iko ulaya
Hahah!! Kama walivyokataa kucheza na Mamelodi Sundown fc ya South
 
Anacheza ndondo Uingereza halafu aitwe timu ya Taifa,maajabu.
 
Back
Top Bottom