Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Leo ktk pitapita zangu mitandaoni..nikitafuta facts za teams nilizotaka kubet
Nikakutana na club inayofahamika kwa jina tajwa hapo juu.
Huyu ni striker mtnz ana miaka 25, mwenye asili ya zanzibar anaitwa A.Yussuf.
Anacheza Nchini uingereza ligi daraja la nne.. (wao wanaita national league)
Sasa nashangaa kwanini wachezaji wa aina hii hatuwaiti kuja kuwakilisha Nchi yao kwny michezo ya kimataifa hasa afcon.
Profile yake inaonyesha ana experience ya miaka tisa kwny clubs kadhaa uingereza kama grimsby ,Burton, crawley nk
Pamoja na udogo wa timu anayoitumikia, bado naamini kiufundi atakuwa na cha ziada kuliko hawa tunaowategemea.
Wadau wanaomjua zaidi huyu watujulishe.