Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa hiyo wewe hukubaliani na tabia ya kumsaidia mtu kuamka alipojikwaa na kumpa pole wakati huo huo unamkosoa kwa kushindwa kuangalia njia anayokwenda mpaka akajikwaa, sawa ?
Wakuu,
naandika hii nikiwa na moyo mzito sana kuhusu mwenzetu Ndalima Nzaro.
Nimetoka hospitali kumuona ndugu yetu na kwa kweli hali yake ni mbaya mno.
Evidently after the accident, massive haemorrhaging ensued resulting in irreversible damage to critical parts of the brain.Mbali na hayo, the impact of the accident caused major damage to the spinal code rendering him paralysed.
Personally I touched his body for some time and I was overcome by emotion realising how easyit is for us to be here one moment and in a flush be so far away that we cant reach each other.We are hanging in there but we are bracing ourselves for the unthinkable as we continue asking for your prayers.
There will be mini gathering of people at Maji's residence in Southfield where
more infor will be available.
Regards.

May God hear our prayers for Ndally.
Alumni Tambaza A-level '92.
Kwa hiyo huyu Mtanzania mwenzetu ni mtu mzima basi, na sio huyo mtoto wa miaka 15 aliyekuwa anakimbizana na polisi kwenye benzi kama taarifa ya press ilivyo onyesha, au?
Manake watu humu walishaanza kulaumu swala la kuiga tabia/desturi za Kimarekani. Nikafikiri ni Mtanzania ndio alikuwa anakimbizana na polisi kwenye benzi. Kumbe yeye ni moja ya yale magari mengine mawili yaliyokuwa yamesimama kwenye traffic lights na kupigwa na hili benzi la mtoto wa miaka 15. Au ?
Habari ndio hiyo. Mtoto aliyekuwa akiendesha benz la boyfriend wa mama yake ndio alikuwa akikimbizana na polisi.
Hii habari kweli inafaa kuwekwa hapa kwenye jukwaa la siasa?..Au pc yangu inamatazizo coz last time ilikuwa sehemu yake muafaka ya matangazo...
hizi pc zangu sometimes sizielewi naona zinataka kunigombanisha na ma mods..au?..
Mungu akujalie na upone haraka...amina
Ambae sio Mtanzania, au ? Hicho ndio nataka ku ascertain hicho.
Ni Mtanzania mwenzetu alikuwa innocent bystander kwenye traffic lights akagongwa na huyu mtoto aliyekuwa anakimbiza benzi, au ?
Na kama ni hivyo, basi ile posti ya kumshutumu huyu Mtanzania kwa kuiga tabia za Kimarekani inapotosha na ikemewe - na wote walioweka vi-thanks!!!
Hebu hizi ligi zetu tukazitafutie thread nyingine, nendeni huko. Hapa ni condolences na mgonjwa updates tu!!!
Ndali alikuwa barabarani akiendesha gari ya Honda Accord. Alikuwa amesimama kwenye barabara ya kuongozea magari akisubiri igeuke rangi ya kijani aendelee na alikokuwa anakwenda. Meanwhile, mtoto wa miaka 15 (si Mtanzania) akiwa amechukua gari ya rafiki wa kiume wa mama yake (lile Benz) akiwa amempeperushia kandege ka kati polisi, alikuwa anaenda mwenzo wa kasi karibu maili 100 kwa saa.
Ni katika kufukuzana huko na Polisi akaacha njia na kwenda kuligonga ubavuni gari la kina Ndali na jingine yaliyokuwa yanasubiri rangi ya kijani.
Kwa njia Ndali hakuumiia sana ila ule mshtuko uliotokana na impact, bila ya shaka ulisababisha concussion ambayo imeuumiza vibaya ubongo na bila ya shaka kufanya dislocation ya uti wa mgongo. Na hivyo ndivyo vimemuweka kwenye umahututi.
Sijui kama nimefanikiwa kufafanua.