Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

Status
Not open for further replies.
May all beings attain enlightenment.

A life senselessly and cruelly robbed.
 
Kuna mambo yanatarajiwa kubadilika kidogo. Na nimewaomba ma MoD waiweke kapuni kwa muda kwa sababu habari hizi hazijachuja zote kwa familia nyumbani na ndio tuko msibani hapa.
 
Pole sana Mama Eva Nzaro kwa kuondokewa na mwanao! Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu!
RIP Ndalima.
 
Poleni sana wafiwa. Baadhi yetu tungependa kushiriki msiba huu hapa nyumbani. Bila shaka mtatufahamisha endapo mwili wa marehemu utasafirishwa kuletwa huku. Pole sana Mama Nzaro, familia na marafiki wa karibu.
 
May his soul find eternal rest. Poleni sana wafiwa. For the rest of us tuwe tayari maana hatujui saa wala siku tutakaporudi kwa muumba wetu.
 
POleni sana familia ya Nzaro...Bwana alitoa na Bwana Ametwaa......
 
Poleni sana wanafamilia, mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Mungu awajalie wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu nguvu na moyo mkuu katika wakati huu mgumu.
 
Dah......Poleni sana wafiwa........RIP Ndalima
 
Tumepoteza!!. Si wanafamilia tu bali watanzania wote na hasa wana jf
mwenyezi mungu ampumzishe kwa amani - amina
 
Mungu awape familia, ndugu na marafiki moyo wa subira. Tupo pamoja kwenye msiba huu.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

Amen
 
Mungu awatie nguvu familia ya marehemu,na tunamuombea marehemu apumzike kwa amani!
 
Mama Nzaro na familia yote pole sana. Sote njia yetu ni hiyo......kwa namna moja au nyingine.
 
RIP Ndalima Nzaro, Mungu wajalie na wape amani ndugu na jamaa zake. Mungu Bariki mipango yoote ya msiba huu. Amen.
 
May the Almighty God rest his soul in internal peace. Amen

May God Console and guide those left behind. The family of Ndalima, please accept my sincere condolences at this difficult time.
 
Mwenyezi Mungu watie nguvu familia ya marehemu,na uilaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom