Kuna mambo yanatarajiwa kubadilika kidogo. Na nimewaomba ma MoD waiweke kapuni kwa muda kwa sababu habari hizi hazijachuja zote kwa familia nyumbani na ndio tuko msibani hapa.
Poleni sana wafiwa. Baadhi yetu tungependa kushiriki msiba huu hapa nyumbani. Bila shaka mtatufahamisha endapo mwili wa marehemu utasafirishwa kuletwa huku. Pole sana Mama Nzaro, familia na marafiki wa karibu.