cblhbn
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 394
- 494
Mashindano ya African freestyle football yafanikayo nchini Nigeria kwa siku mbili kuanzia tarehe 14 sep 2019, yamemalizika na Mtanzania kushika nafasi ya pili, huku nafasi ya kwanza ikishikwa na mnigeria, hadhaha ni maarufu duniani kwa kuchezea mpira wa miguu kwa madoido na haikuchukua muda kupata kujulikana na kuvuka mpika na kukonga mioyo ya watu.
Raisi wa America, Donald Trump alishidwa kuvumilia, na ku-tweet na kupost video kuonesha hisia zake Huku akimpa sifa na kongole nyingi, akimtathimini kama mwanadada jasiri na mfano wakuigwa katika jamii, mara baada ya clip kusambaa ikimwonesha akipiga dana Dana kwa ufundi,
Tanzania imekua ni nchi ya mfano barani Africa katika nyanja zote kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, ustawi wa jamii na utawala bora. swala la vipaji unique Tanzania imeendelea kuishangaza dunia.
#hapakazituu
#