Mtanzania ashika nafasi ya pili mashindano Africa freestyle football competition

cblhbn

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
394
Reaction score
494
Mashindano ya African freestyle football yafanikayo nchini Nigeria kwa siku mbili kuanzia tarehe 14 sep 2019, yamemalizika na Mtanzania kushika nafasi ya pili, huku nafasi ya kwanza ikishikwa na mnigeria, hadhaha ni maarufu duniani kwa kuchezea mpira wa miguu kwa madoido na haikuchukua muda kupata kujulikana na kuvuka mpika na kukonga mioyo ya watu.
Raisi wa America, Donald Trump alishidwa kuvumilia, na ku-tweet na kupost video kuonesha hisia zake Huku akimpa sifa na kongole nyingi, akimtathimini kama mwanadada jasiri na mfano wakuigwa katika jamii, mara baada ya clip kusambaa ikimwonesha akipiga dana Dana kwa ufundi,
Tanzania imekua ni nchi ya mfano barani Africa katika nyanja zote kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, ustawi wa jamii na utawala bora. swala la vipaji unique Tanzania imeendelea kuishangaza dunia.
#hapakazituu
#
 
Angefaa awe wakwanza amefanya vizuri kushinda Yule mnigeria.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom