Uzi mtamu huuUmeanza kujijibu mwenyewe
Hii hali imekuwepo kitambo. Rais Samia anataka tumsaidie kufanya mabadiliko.Tanzanians are turned into cheap labor new era of ufisadix
Aisee let us continue working for the top leaders while suffering pains under the green flag waved by a non-indigenous woman from coastal
Mjinga mmoja anatetea mwenye mikono ale na kipofu
Sahihiilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo iendelee , tena nashauri ziangaliwe njia nyingine za kuchangia maendeleo yetu, badala ya kuchangia harusi na masharehee mengine sasa tunaweza kuchangia 1200 maendeleo ya barabara zetu, hospitali, maji n.k
Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
tusitegemee kujengewa nchi yetu na mataifa mengine.
wala tusifikirie eti jinsi awamu ya 1 hadi ya 6 walivyo ongoza lazima ifanane na awamu hii ya 5, kila kiongozi anamaono yake ya kutuletea maendeleo.
Tutaendelea kulipa tozo bila shida yoyote.
wanao pinga tozo ni wahuni wachache wenye matatizo ya afya ya akili.
Hiyo sentensi ya mwisho imevuruga uzi mzimaYaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi.
Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa litawatua akili Chawa wengi waliokuwa wanaihi ishi tu.
Sasa tutakapo sema tunahitaji Katiba Mpya ili kudhibiti na kuwajibisha wafujaji wa mali zetu nadhani tutashirikiana kwa pamoja..
Rais ana nia njema na taifa hili tumpe muda na tuvumilie tutavuka salama.
Ni dhambi kutokuwa na uchungu wa nchi yko?Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi.
Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa litawatua akili Chawa wengi waliokuwa wanaihi ishi tu.
Sasa tutakapo sema tunahitaji Katiba Mpya ili kudhibiti na kuwajibisha wafujaji wa mali zetu nadhani tutashirikiana kwa pamoja..
Rais ana nia njema na taifa hili tumpe muda na tuvumilie tutavuka salama.
Ni dhambi kubwa sana. Ni lazima kila mtanzania awe na fikra za future kwa taifa lake.Ni dhambi kutokuwa na uchungu wa nchi yko?
HahahahahaaaHiyo sentensi ya mwisho imevuruga uzi mzima
Dhambi kutoka kwa mungu yupi? Au yesu?Ni dhambi kubwa sana. Ni lazima kila mtanzania awe na fikra za future kwa taifa lake.
Yesu wa Ndugai NazaletiDhambi kutoka kwa mungu yupi? Au yesu?
Hao wako spared kwa mujibu wa sheriaUnataka kusema Rais, Makamu, Waziri Mkuu, hawana uchungu?
Na wao wapunguze matumiz ya anasa,watumie pesa kwa njia sahihiNi dhambi kubwa sana. Ni lazima kila mtanzania awe na fikra za future kwa taifa lake.
Mkuu kazi wanazofanya wewe na mimi hatuna ujasiri huo. Acha wale.Na wao wapunguze matumiz ya anasa,watumie pesa kwa njia sahihi
Wananchi waone matokeo
Siyo wao wanakuwa mabonyenye tu
Ova