Dah! Ahueni leo umepunguza ukali wa maneno maana Marekani imekuathiri kweli kweli bwashee!Utasikia hii ni kwasababu ya juhudi za serikali takatifu ya mtukufu rais John Pombe Magufuli.
People are crazy beyond imagination aisee
Wangechukua na rais pia tumeshampata mbadala wakeNajua SS ilishakuja Tanzania kuomba manpower/Intel kwenye sector za kilimo, elimu, miundombinu, afya
Na serikali ilitoa wasomi wengi kwenda kufanya kazi na serikali ya SS, sasa sijajua kama waliperform vizuri kiasi hiki hadi sasa wameamua watupe uchumi wao wote tuusimamie sisi.
Hii ni sifa ya kipekee kabisa kwa Taifa letu, baada ya ukombozi wa bara la Africa sasa tunakomboa uchumi wa SS.
Chaga-dema watasema hayo Ni maendeleo ya vituipo haja ya kuanzisha usafiri wa ndege juba dar pia
Mmoja ya wasomi nguli wa kodi TZMwenye CV ya huyu jamaa
Kama tuna mtu kama huyo, na tunao wengi tu, iweje wasipewe nafasi, tupewe mtu wa kutoka nje? Tz tumeshawasomesha raia wetu wengi tangu baada ya uhuru na sifa na vigezo wanazo, sio sawa na SS ambao ndio wanaanza safari baada ya uhuru wao.Hongera kwake Mtanzania mwenzetu, lkn pia Iwe funzo kwetu pia Meneja wa Kampuni fulani Mf. VODACOM au Shirika la Umma anapoteuliwa toka nga'mbo tusione WIVU na kuanzisha Visasi vya kumtoa kisa tu mgeni. Ona sasa Mwenzetu kaula huko SS ingekuwa hapa kwetu Msudan Kapewa TRA Redio na Magazeti hivyo vichwa vya habari hiyo Msudan angeomba kujiuzulu mwenyewe.
Duuh, ni mchaga?Mmoja ya wasomi nguli wa kodi TZ
alikuzwa na TRA ya kitilya miaka ya 2000, baadae akawa mkuu wa chuo cha kodi, mikocheni.... alihamishwa na kupelekwa idara ya forodha kama naibu kamishina chini ya bwana Tiagi Masamaki . 25 november 2015 baada fumua fumua ya JPM alikaimu kama kamishina mkuu wa forodha haikuchukua miezi 2 akatumbuliwa TRA/utumishi wa umma akarudi sector binafsi kwenye NGOS Kama mshauri na kufundisha part time kwenye vyuo ya elimu ya juu...
Jinga sana tunapiga kelele sababu hao wataalamu tunao.Hongera kwake Mtanzania mwenzetu, lkn pia Iwe funzo kwetu pia Meneja wa Kampuni fulani Mf. VODACOM au Shirika la Umma anapoteuliwa toka nga'mbo tusione WIVU na kuanzisha Visasi vya kumtoa kisa tu mgeni. Ona sasa Mwenzetu kaula huko SS ingekuwa hapa kwetu Msudan Kapewa TRA Redio na Magazeti hivyo vichwa vya habari hiyo Msudan angeomba kujiuzulu mwenyewe.
Mmempata na nani?Wangechukua na rais pia tumeshampata mbadala wake
Kwahiyo unadhan huko SS hakuna wenye sifa kama za huyo Mtanzania, kwenye Competence hawaangalii elimu pekee Mkuu, fikiria nje ya Box uwe GT. Hivi unadhan hakuna mwenye vyeti kama Senzo Pale Yanga GSM? Endelea kukaa na mavyeti yako ukidhan ndio kila kitu with no Global Experience, Expossure nk nk utaishia kutukana wakubwa zako ndio uwezo wako umeishia hapo na akili zako kama James DellJinga sana tunapiga kelele sababu hao wataalamu tunao
Na nikwambie tuu Mimi ntaongoza makelele kama wakiajili MTU ambae sifa zake tunazo
Chadema watakwambia hayo ni maendeleo ya vituCCM watakuambia ni juhudi za awamu ya 5,yani tumetawaliwa na wajinga kiwango cha lusinde
Nimekuelewa mzee baba.Mmoja ya wasomi nguli wa kodi TZ
alikuzwa na TRA ya kitilya miaka ya 2000, baadae akawa mkuu wa chuo cha kodi, mikocheni.... alihamishwa na kupelekwa idara ya forodha kama naibu kamishina chini ya bwana Tiagi Masamaki . 25 november 2015 baada fumua fumua ya JPM alikaimu kama kamishina mkuu wa forodha haikuchukua miezi 2 akatumbuliwa TRA/utumishi wa umma akarudi sector binafsi kwenye NGOS Kama mshauri na kufundisha part time kwenye vyuo ya elimu ya juu....
nakukumbusha tu!Najua SS ilishakuja Tanzania kuomba manpower/Intel kwenye sector za kilimo, elimu, miundombinu, afya
Na serikali ilitoa wasomi wengi kwenda kufanya kazi na serikali ya SS, sasa sijajua kama waliperform vizuri kiasi hiki hadi sasa wameamua watupe uchumi wao wote tuusimamie sisi.
Hii ni sifa ya kipekee kabisa kwa Taifa letu, baada ya ukombozi wa bara la Africa sasa tunakomboa uchumi wa SS.