TANZIA Mtanzania auawa kwa kuchomwa visu nchini Afrika Kusini

Miaka ya 2009 nikiwa nimeshuka zangu Hong Kong kutokea Bangkok Thailand nikawekwa pembeni na immigration kuhojiwa kama nusu saa. Tulikuwa wengi ila unaitwa mmoja mmoja. Baadae yule mkuu aliyekuwa anasimamia lile zoezi akaniuliza swali la kizushi. Kwanini kila anaekamatwa na unga akiwa anatokea Tz ni watu wa pwani hasa Dar tanga na mara chache Zanzibar? Wakaz wa hayo maeneo ndio wanaoongoza kwa uhalifu nchini mwenu? Nikashindwa nimjibu nini ila nikamwambia wakaz wengi asilia hawakwenda shule labda watu wabaya wanawatumia kwa ushawish wa hela kufanya mambo yao. Baadae kwenye kuhojiwa watu walirudishwa kumbe masaa machache yaliyopita kuna wabongo wawili walikuwa wamekamatwa na unga kutoka Malaysia. Ndio walitusabishia ule msala.
 
Wewe ni kwenye taasisi walio kwa ground kitaa huko madiba mbona wanasema msouth anadharau mgeni yeyote mweusi uwe mtz , mzambia wote walewale tu labda uwe mzungu ndio wanakuheshimu na kukuogopa
Yeah msouth anawadharau black foreigner wanao ingia south kupiga mishe maana wanajuwa wanawachukulia nafasi zao za job.
 
Uzuri wa South uende na Taaluma wazee, bila taaluma south ni jehanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…