Mtanzania Barka Seif ajiunga na Academy ya Barcelona (La Masia)

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Kinda wa Kitanzania Barka Seif Mpanda amejiunga rasmi na academy ya klabu ya Fc Barcelona ya nchini Hispania akitokea Fc Damm ya nchini humo

Kiwango bora alchokionesha akiwa fc Damm ambapo kwa msimu uliopita aliibuka mfungaji bora kwa kufunga magoli 41 katika michezo 28 ya ligi za vijana Catalunya kimewapelekea Barcelona kuona uwezo wake na kumsajili katika academy yao

Anaweka rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza kujiunga na academy hiyo ya klabu kubwa duniani iliozalisha mastaa wengi wa soka

Leo ndoto zangu zimetimia na @fcbmasia. Kwanza kabisa napenda kumshukuru @cfdamm kwa kunisaidia katika misimu mitatu niliyoichezea timu hiyo. Pia napenda kuwashukuru makocha, wachezaji wenzangu na familia yangu ambao wamefanya yote haya yawezekane.

SnapInsta-Ai_3915040944233190468.jpg
SnapInsta-Ai_3915040924234893776.jpg
SnapInsta-Ai_3915040863014778455.jpg
 
Kucheza timu ulaya siku hizi sio kipaji kama wengi wanavyodhani.
Ni ramani, Ni connection.
Sasa ikiwa kweli CCM inawapenda wale serengeti boys, iwatafutie connection nje bila malipo....
Senegal, Mali, Nigeria hata Cameron wanafanya hivyo.
Sio kuwakalisha kambi, au academy chini ya walimu wa kienyeji.
 
Kinda wa Kitanzania Barka Seif Mpanda amejiunga rasmi na academy ya klabu ya Fc Barcelona ya nchini Hispania akitokea Fc Damm ya nchini humo

Kiwango bora alchokionesha akiwa fc Damm ambapo kwa msimu uliopita aliibuka mfungaji bora kwa kufunga magoli 41 katika michezo 28 ya ligi za vijana Catalunya kimewapelekea Barcelona kuona uwezo wake na kumsajili katika academy yao

Anaweka rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza kujiunga na academy hiyo ya klabu kubwa duniani iliozalisha mastaa wengi wa soka

Leo ndoto zangu zimetimia na @fcbmasia. Kwanza kabisa napenda kumshukuru @cfdamm kwa kunisaidia katika misimu mitatu niliyoichezea timu hiyo. Pia napenda kuwashukuru makocha, wachezaji wenzangu na familia yangu ambao wamefanya yote haya yawezekane.

View attachment 3603797View attachment 3603798View attachment 3603799
Mbona dauda simuoni hapo
 
Sasa subirini siasa za bongo

Dogo alipotaka kujiunga AJAX nasikia kuna kigogo wa TFF ili kuidhinisha makaratas alitaka mgao wakat watoto chin ya 18 hawana mshahara

Leo kaenda BARCELONA.sijui anajisikiaje huko aliko

Bado wale wa KIZIMKAZWA wa mama ANAMWAGIWA NYINGI ...Kupamba mafanikio binafs ya mtu bila SIRI KALI kuhusika
 
Back
Top Bottom