Mtanzania daktari anaye fanya akazi ya udaktari nchi Uturuki

Mtanzania daktari anaye fanya akazi ya udaktari nchi Uturuki

Mbona madaktari kibao wanafanya kazi kama madaktari tena kwenye taasisi kubwa zaidi ya huyo jamaa? Huyu jamaa kafanya nini special? Au ndio promo. Tukileta humu promo za vichwa hata server itazidiwa.
 
Mbona madaktari kibao wanafanya kazi kama madaktari tena kwenye taasisi kubwa zaidi ya huyo jamaa? Huyu jamaa kafanya nini special? Au ndio promo. Tukileta humu promo za vichwa hata server itazidiwa.

Anza kuwaleta, Mzizi kaanzisha ww fuatia 😡😡
 
Last edited by a moderator:
Kitendeeni haki kidhungu, hii habari hata kama imetafsiriwa kwa google, mleta mada najua ni mjuvi wa lugha, basi aangejaribu kukifanya kidhungu, angalau, kieleweke.
 
safi sana ila hii translation ni kwa google translator au ni nn maana mtiririko ni wa shida sana aisee da
 
Back
Top Bottom