Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Mtanzania epuka [emoji116][emoji116]
[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya usipate ajira kwa miaka mitano.
[emoji117]Kiongozi atakaye fanya pesa ikosekane mtaani.
[emoji117]Kiongozi atakaye kufanya biashara yako kuwa ngumu mtaani.
[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya wewe mtumishi wa umma kukosa masilahi na haki zako za msingi.
[emoji117]Kiongozi atakaye kupa msaada kwa masimango au kwa kutafuta kiki.
[emoji117]Kiongozi atakaye kufanya ushindwe kutazama bunge live.
[emoji117]Kiongozi atakaye kuwa anawabambikizia wananchi wake kesi kwa maslahi yake binafsi.
[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya ukose uhuru wako wa kujieleza.
[emoji117]Kiongozi atakaye binya uhuru wa vyombo vya habari nchini.
[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya uendelee kuisoma namba.
[emoji117] Kiongozi atakaye fanya kuwe na uhusiano mbaya na nchi marafiki na nchi wahisani.
[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya useme bora ya viongozi walio pita.
[emoji117] Kiongozi atakaye kuwekea viongozi wake wasaidizi wahuni (wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, wakuu wa vyombo vya usalama)
[emoji117] Kiongozi atakaye kuwekea viongozi wake wasaidizi ambao ni waoga wa kutetea haki zako za msingi hata kama umenyanyaswa.
[emoji117] Kiongozi atakaye ingilia uhuru wako wa kuabudu.
[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya ukimbie nchi yako na kwenda kuishi ughaibuni (ugenini)
[emoji117] Kiongozi atakaye ruhusa mwananchi wake kumiminiwa risasi magazini nzima.
[emoji117] Kiongozi atakaye fanya mtumishi wa umma na viongozi wa kisiasa na kidini kufanya kazi zao kwa uoga.
[emoji117]Kiongozi atakaye ongoza nchi kwa fikra zake binafsi.
[emoji117]Kiongozi atakaye jali maisha ya vitu kuliko watu.
[emoji117]Kiongozi atakaye ingilia mihimili mingine.
[emoji117]Kiongozi atakaye miliki pesa za serikali kama zake binafsi.
[emoji117]Kiongozi anaye jioni yeye ni bora kuliko watangulizi wake.
[emoji117] Kiongozi asiye itii katiba yetu ya nchi.
[emoji117] Kiongozi atakaye vibania vyama vingine visifanye siasa huku chake kikiwa kinafanya kila kukicha.
[emoji117]Kiongozi atakaye viweka mfukoni vyombo vya ulinzi na usalama kwa faida zake binafsi.
Watanzania wenzangu kazi kwenu msije mkasema sikuwaambia. Niwatakie uchaguzi mwema.
Mungu ibariki Tanzania [emoji120][emoji120][emoji120]