Uchaguzi 2020 Mtanzania epuka kuchagua kiongozi mwenye sifa hizi ishirini na sita (26) utajutia kipindi chote cha miaka mitano (5)

Ndefu sana na inachosha kusoma.
Najua kwanini unasema hivyo. Pole nyingi, Najua Ina maana gani kwani hututokea binadamu wengi pale tunapochanwa ukweli!.Hua inauma Sana lakini hua hatuna Budi kupokea hata kwa lazima hivyo hivyo😂😂😂😂😂😂
 
Ya 'Kutomchagua' Rais Kipenzi, Mchapa Kazi na Muadilifu kabisa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Ukiona GENTAMYCINE nampenda Mtu niamini.
Hivi ni kwa nini mwaka huu tusijaribu kuwapa nchi wapinzani nao ili tuone na wao watafanya maajabu gani?
 
Yaani tuwape nchi 'Machizi' kabisa Mkuu au? Hebu tutake Radhi upesi tafadhali. Tanzania kwa Miaka Milioni bado itakuwa chini ya Himaya ya CCM.
 
Kwa makelele ya maspika yanayowekwa kwenye mikutano ya CCM haikuwa busara kumlazimisha Mama Maria kwenda pale… ujue LAANA zingine maCCM wanajitakia? Ndio maana Polepole anapulizwa na AC lakini ngozi haitakati…
 
Mtanzania epuka [emoji116][emoji116]

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya usipate ajira kwa miaka mitano.

[emoji117]Kiongozi atakaye fanya pesa ikosekane mtaani.

[emoji117]Kiongozi atakaye kufanya biashara yako kuwa ngumu mtaani.

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya wewe mtumishi wa umma kukosa masilahi na haki zako za msingi.

[emoji117]Kiongozi atakaye kupa msaada kwa masimango au kwa kutafuta kiki.

[emoji117]Kiongozi atakaye kufanya ushindwe kutazama bunge live.

[emoji117]Kiongozi atakaye kuwa anawabambikizia wananchi wake kesi kwa maslahi yake binafsi.

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya ukose uhuru wako wa kujieleza.

[emoji117]Kiongozi atakaye binya uhuru wa vyombo vya habari nchini.

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya uendelee kuisoma namba.

[emoji117] Kiongozi atakaye fanya kuwe na uhusiano mbaya na nchi marafiki na nchi wahisani.

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya useme bora ya viongozi walio pita.

[emoji117] Kiongozi atakaye kuwekea viongozi wake wasaidizi wahuni (wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, wakuu wa vyombo vya usalama)

[emoji117] Kiongozi atakaye kuwekea viongozi wake wasaidizi ambao ni waoga wa kutetea haki zako za msingi hata kama umenyanyaswa.

[emoji117] Kiongozi atakaye ingilia uhuru wako wa kuabudu.

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya ukimbie nchi yako na kwenda kuishi ughaibuni (ugenini)

[emoji117] Kiongozi atakaye ruhusa mwananchi wake kumiminiwa risasi magazini nzima.

[emoji117] Kiongozi atakaye fanya mtumishi wa umma na viongozi wa kisiasa na kidini kufanya kazi zao kwa uoga.

[emoji117]Kiongozi atakaye ongoza nchi kwa fikra zake binafsi.

[emoji117]Kiongozi atakaye jali maisha ya vitu kuliko watu.

[emoji117]Kiongozi atakaye ingilia mihimili mingine.

[emoji117]Kiongozi atakaye miliki pesa za serikali kama zake binafsi.

[emoji117]Kiongozi anaye jioni yeye ni bora kuliko watangulizi wake.

[emoji117] Kiongozi asiye itii katiba yetu ya nchi.

[emoji117] Kiongozi atakaye vibania vyama vingine visifanye siasa huku chake kikiwa kinafanya kila kukicha.

[emoji117]Kiongozi atakaye viweka mfukoni vyombo vya ulinzi na usalama kwa faida zake binafsi.

Watanzania wenzangu kazi kwenu msije mkasema sikuwaambia. Niwatakie uchaguzi mwema.

Mungu ibariki Tanzania [emoji120][emoji120][emoji120]
Kura kwa TAL this 2020
 
Yaani tuwape nchi 'Machizi' kabisa Mkuu au? Hebu tutake Radhi upesi tafadhali. Tanzania kwa Miaka Milioni bado itakuwa chini ya Himaya ya CCM.
Watanzania wataamua mkuu na round hii ccm kuchomoka sijui maana kote naona wamekabwa koo bara na visiwani.
 
Hakuna maajabu zaidi bali tunataka watawala watuheshimu sisi wananchi na wajue kwamba hii nchi ni mali yetu sio yao.
Na wamesha tuheshimu mpaka hapo maana sio kwa spidi hiyo wanayo pelekwa na upinzani.
 
Hivi ni kwa nini mwaka huu tusijaribu kuwapa nchi wapinzani nao ili tuone na wao watafanya maajabu gani?
Unategemea maajabu gani toka kwa Salum Mwalimu aka makamu wa rais? Ni matusi kwa watanzania kufikiria kumpa uongozi mtu aliyepangishiwa chumba na mchepuko ambaye ni mke wa mtu. Chadema oneni aibu kuhusu hao viongozi wenu.
 
Mtanzania epuka [emoji116][emoji116]

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya usipate ajira kwa miaka mitano.

[emoji117]Kiongozi atakaye fanya pesa ikosekane mtaani.

[emoji117]Kiongozi atakaye kufanya biashara yako kuwa ngumu mtaani.

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya wewe mtumishi wa umma kukosa masilahi na haki zako za msingi.

[emoji117]Kiongozi atakaye kupa msaada kwa masimango au kwa kutafuta kiki.

[emoji117]Kiongozi atakaye kufanya ushindwe kutazama bunge live.

[emoji117]Kiongozi atakaye kuwa anawabambikizia wananchi wake kesi kwa maslahi yake binafsi.

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya ukose uhuru wako wa kujieleza.

[emoji117]Kiongozi atakaye binya uhuru wa vyombo vya habari nchini.

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya uendelee kuisoma namba.

[emoji117] Kiongozi atakaye fanya kuwe na uhusiano mbaya na nchi marafiki na nchi wahisani.

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya useme bora ya viongozi walio pita.

[emoji117] Kiongozi atakaye kuwekea viongozi wake wasaidizi wahuni (wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, wakuu wa vyombo vya usalama)

[emoji117] Kiongozi atakaye kuwekea viongozi wake wasaidizi ambao ni waoga wa kutetea haki zako za msingi hata kama umenyanyaswa.

[emoji117] Kiongozi atakaye ingilia uhuru wako wa kuabudu.

[emoji117] Kiongozi atakaye kufanya ukimbie nchi yako na kwenda kuishi ughaibuni (ugenini)

[emoji117] Kiongozi atakaye ruhusa mwananchi wake kumiminiwa risasi magazini nzima.

[emoji117] Kiongozi atakaye fanya mtumishi wa umma na viongozi wa kisiasa na kidini kufanya kazi zao kwa uoga.

[emoji117]Kiongozi atakaye ongoza nchi kwa fikra zake binafsi.

[emoji117]Kiongozi atakaye jali maisha ya vitu kuliko watu.

[emoji117]Kiongozi atakaye ingilia mihimili mingine.

[emoji117]Kiongozi atakaye miliki pesa za serikali kama zake binafsi.

[emoji117]Kiongozi anaye jioni yeye ni bora kuliko watangulizi wake.

[emoji117] Kiongozi asiye itii katiba yetu ya nchi.

[emoji117] Kiongozi atakaye vibania vyama vingine visifanye siasa huku chake kikiwa kinafanya kila kukicha.

[emoji117]Kiongozi atakaye viweka mfukoni vyombo vya ulinzi na usalama kwa faida zake binafsi.

Watanzania wenzangu kazi kwenu msije mkasema sikuwaambia. Niwatakie uchaguzi mwema.

Mungu ibariki Tanzania [emoji120][emoji120][emoji120]
Utamjuaje bila ya kumchagua ?
 
Kwa andiko hili TAL hana sifa,.
Ngoja nimwingize mwingine kwenye mchakato kupitia sifa hizo 20
 
Back
Top Bottom