naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Huyu jamaa atakuwa alikuwa na msongo wa mawazo hiyo kumnyang'anya jambazi silaha alijua madhara yake Ila alitaka aonekane kauliwa, lakini kwa hili hata yeye dhamira yake ilikuwa ni kufa ili aondokane na hii aibu, hata ukisoma maongezi hapo juu yanajieleza anataka mwenzie amuelewe nini kimempelekea kuwa hivyo.Nenda facebook tafuta page inaitwa Johnson mchaina utaona picha za 2012,2014 ana watoto tena nimeona kuna anaitwa Lissa,kuna anaitwa Dorrycus. Huyo tamaa ilimfanya akaoe mwanaume mwenzake. Ila hata hivyo hakustahili kupigwa risasi. Ila pia asingeenda huko US kuowa/kuolewa na mwanaume mwenzake haya yasingemkuta.