TANZIA Mtanzania Johnson Mdoe auawa kwa risasi Marekani. Polisi watangaza dau kwa yeyote mwenye taarifa

Huyu jamaa atakuwa alikuwa na msongo wa mawazo hiyo kumnyang'anya jambazi silaha alijua madhara yake Ila alitaka aonekane kauliwa, lakini kwa hili hata yeye dhamira yake ilikuwa ni kufa ili aondokane na hii aibu, hata ukisoma maongezi hapo juu yanajieleza anataka mwenzie amuelewe nini kimempelekea kuwa hivyo.
 
Habari zako Victoire. Hapo kwenye watoto Lissa na Dorrycus sijakuelewa. Ni kweli USA inaongoza duniani kwa matukio ya watu kuumizwa au kuuawa kwa bunduki. Hii inasababishwa na bunduki kupatikana kirahisi sana iwe kihalali au kiharamu lakini haina maana Mtanzania/Watanzania watakaokwenda USA au walio USA wataishia kuuawa kwa bunduki. Hata kuolewa pia haina maana kila Mtanzania au Mwafrika aliye USA anafanya huo upuuzi wa kuolewa ili tu apate papers za kuweza kuishi USA.
Mimi na wewe hatumjui huyo mwenzetu na hivyo hatujui hiyo shughuli na Wanaume wenzie aliianza akiwa Tanzania au baada ya kuondoka.

 
43yrs, alikuwa clerk at the shop....Wosie huyu angebaki tu nyumbani alime mapeasi na iliki siajabu leo naye angemiliki mafuso..
Leo tu Kuna mwamba kaniambia anatafuta soko la iliki na pilipili manga ..mkuu Bora kujilipua tu nje walau hukosi 3m pm..Hizo peas zenyewe wanachagua zenye Bora tu zingine kauzie makambako huko unakuta yamedororaaaa...
 

Acha uswahili wewe. Penda cha kwako. So andiko refu Hilo unaisifia marekani. Weusi wangapi wanakufa. Sheria za silaha je. Huyo ni mke wa mmarekani mzungu lazima kazi ifanyike. Serikali ya Tz. Imejitahidi sana kwenye maswala ya uhalifu. Na Pia usisahau anayeua Ni wewe na mimi.
 
Mbona Victoire alishaandika walianzana njiro ndo wakaenda U. S. A
Lakini huyu mdoe ana roho mbaya.
Mnoooo.
Una watoto wakubwa unakubali kuoa sijui kuolewa na mwanaume mwenzio.
Hata hajafikiria maisha ya bintize.
 
Wabongo kama kawaida yetu washaanza kumjia juu mzungu [emoji23]
 
Yan Mwanaume Mzima eti anabokolewa.
Pls guys mfanye kazi kwa bidii muhudumie familia zenu msipende Mteremko Mtaliwa Hataree mpaka mkome
Yeye alikuwa anambokoa huyo mzungu, ila wanasemaga ukifanya nawe utafanywa tu. Kama ndio aina ya amaisha aliyokuwa akiyaintertain huko ugaibuni possibly naye alikuwa akifanywa
 
Shukrani kwa ufafanuzi hiyo kwamba walianzana Njiro sikuiona. 🙏🏽

Mbona Victoire alishaandika walianzana njiro ndo wakaenda U. S. A
Lakini huyu mdoe ana roho mbaya.
Mnoooo.
Una watoto wakubwa unakubali kuoa sijui kuolewa na mwanaume mwenzio.
Hata hajafikiria maisha ya bintize.
 
Hakuna utetezi wa ushoga....
Katika kila angle huwezi halalisha huu uchafu.

Sio aliyeua, sio aliye ulIwa, sio alieoa, sio alieolewa.. hawa wote KAMA pipa lipo basi linawahusu.
 
Tumeambiwa waziwazi " the victim's husband" yaani "mume wa marehemu" ikionesha kwamba marehemu alikuwa kaolewa na huyo mzungu.
Uhusiano wa wanaume wote huwa mume au kwa Kiingereza husband.
 
Amekufa kishujaa maana angeweza kusurrender wafanye yao ili aokoe uhai.
Pengine angekuwa hai. Makampuni makubwa hayo, yana bima kwa kila tukio baya, hakuna haja ya kupoteza maisha kwa kuepusha kuporwa dola ishirini.
 
..sasa hapo nani alikua mfi.rwa...mdoe ama mzungu....mume ni yupi yani....au mbongo ndie alikua anati.wa...hizi hela tunazipenda lakini si kwa mtindo huu...wallah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…