Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN, Rais Samia ampongeza

" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
CCM si mlisema watu wa kasikazini ni wezi, sasa pongezi za nini tena !! hamkawii kusema huyo alikuwa katibu mwenezi wenu wakati yupo olevel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…