Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mataifa Mazingira

Hivi bila kujua Kingereza, hii position angeipata ..!!

Hii ya kujua Kingereza siyo kuelimika. ... awadanganye wengine!!
Kiingereza kinatukosesha mengi ndugu we acha tu. Ona hapo leo jirani yuko Uswiss na wakubwa wa dunia anaitafutia misada ya kiafya na kuitangaza nchi yake kimataifa, ila sisi tuko busy na kuikabidhi kombe Simba.
 
thanks mkuu
 
D
Dah inauma sana aisee kuna tofauti kubwa sana kati ya local state man na international state man
 
Digrii alizosoma mmmmmmm!!!!?????

Ndo ushangae Sasa huyu maisha yake yote amefanya kazi world bank. Leo anaenda kuwa no. 2 pale UNEP Nairobi. Hii ina kufundisha nini? Elimu yetu ya kukariri haiwezi kutufikisha popote.

Unfortunately Watu kama nyinyi akili zenu ziko confined Lumumba. Ungeamua kuangalia nchi za wenzetu....kazi zinatolewa kwa merit.

Namtakia kila lakheri dada yetu Msuya. Akaiwakilishe nchi yetu vyema. Nina imani kubwa ataacha utendaji uliotukuka hapo Nairobi.
 
Hongera zake. Kama kuna vitu huwa vinanipa ukakasi kuelewa matokeo au mchango wa kazi zake, UN ni mojawapo. Wana majarida, miradi na maandiko mazuri sana kwenye makaratasi lakini inakua shida kukuonyesha vitu walivyovifanya.

Trump akasema ni klabu ya kutumbua pesa.
 
Asante boss kwa kung'amua hilo. Pengine ungeongezea na magari mazuri ya UN na VIP treatment wakisafiri (airport na 5-7 star hotel), mishahara minono kwa USD lakini binafsi sionag la maana UN walichofanya.
 
Toa mfano nani aliyeharibiwa ubongo pale tu aliporudi bongo....
Tiba,balal,ndulu....etc wote hawa kabla ya kuja kufanya kazi Hapa tz walikuwa kwenye mashirika ya kimataifa waliporudi tu mkawaomba waje wapige mzigo mkawaingiza kwenye siasa zenu za longolongo.....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…