Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mataifa Mazingira

Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mataifa Mazingira

Utajisaidia chini kwa haraka zako wakati choo kipo mbele yako![/QUOTE]
Ayaaah‍♂️‍♂️‍♂️
 
Kwa dunia ya leo hususan kwa nyanja za kimataifa kama taasisi za UN, kiingereza fasaha ni muhimu sana , ukiona mtu anakwambia lugha za kimataifa si muhimu, I can say he is not thinking beyond our borders, na lugha zinazotambulika rasmi kwa taasisi za UN ni kiingereza na kifaransa ukiwa na ufahamu na lugha nyingine zaidi ya hizo ni added an advantage kulingana na sehemu husika unayokwenda kufanyia kazi, ila baada ya kuona CV yake nikajiridhisha siyo zao la shule za kata na vyuo vyetu hivi vya baadhi ya Wahadhiri kutishia kuwala vichwa wanafunzi, na hii ni ishara ya kwamba kwa elimu yetu hii ya hapa nchini, we still have a long way to go, thnx and I concur with you!
Lugha ni muhimu sana hasa ya Kiingereza katika nyanja za kimataifa.
 
Back
Top Bottom