Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mataifa Mazingira

Angekuwa mKenya kateuliwa kufanya kazi TZ, ungesikia mara oh asipewe kibali cha kufanya kazi kuna waTZ kibao wana uwezo wa kufanya kazi hiyo, oh elimu yake kiwango gani?. Karibu Nairobi dada Joyce, sisi hatuna matata.
 
Ulaya bana..! Mtu yupo na masters of science in microbiology amekuwa world bank special representative ukija bongo kuwa bank teller tu wanataka uwe na degree ya accountant..! [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Nimekua nikipambana sana na hili life nitoboe mapema sana ila kila nikitazama hawa wanaokula mashavu naona wapo 35+
 
Tuna kichwa pale wizara ya fedha Mr. Mpango alikua huko World bank. Mpaka leo hatuoni matunda ya mipango yake. Bila Sera na utawala bora hata umlete nani sujui nae atakua Mipangoless.
Alikfanya kazi miaka minne tu. Alikuwa hajaiva ...... Hapa tunahitaji watu kama akina Balali. Sema system iliwachakachua tu!!
 
Hongera. But all that years kashaanza kuwa kibibi bado ni Ms. Au ni wafuga vi beniteni..? 😱🙄 Au ka divorce teh teh..🙄😛 Am just poking her jamani..!!
 
Wenye pesa hawana longolongo kwenye elimu za watoto wao ndio maana wakigraduate wanapiga box kwenye taasisi za maana.Kajamba nani kufanya kazi halmashauri na salary ya 700,000 hapo bado makato.
 
Naona hata Degree yake ya kwanza hajaipata bongo!
ana background ya Familia bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…